Wednesday, October 3, 2012

HII NI MECHI YA JANA KATI YA SIMBA NA YANGA

Kipa wa Yanga, Yaw Berko akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Amri Kihema na kuandika bao la Simba. (Picha: Habari Mseto Blog)


SIMBA: Juma Kaseja, Nassor Masoud ‘Cholo’, Paul Ngalema, Juma Nyoso, Shomari Kapombe, Jonas Mkude/ Haruna Moshi ‘Boban’ (dk.68), Amir Kiemba, Mwinyi Kazimoto/ Ramadhani Chombo ‘Redondo’ (dk.87), Felix Sunzu, Edward Christopher/ Daniel Akuffor (dk.64) na Mrisho Ngassa


YANGA: Yaw Berko, Mbuyu Twite, Stephano Mwasika, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kelvin Yondani/ Juma Abdul (dk.81), Athuman Iddi ‘Chuji’, Nizar Halfan/ Didier Kavumbagu (dk.46), Haruna Niyonzima ‘Fabregas’, Said Bahanunzi, Hamis Kiiza/ Frank Domayo (dk.35) na Simon Msuva