Tuesday, October 2, 2012

HII ILIKUWA JANA


Basi la Kampuni ya Dar Express lililokuwa linafanya safari zake kati ya Arusha – Dar es Salaam likiteketea kwa moto leo maeneo ya Segera mkoani Tanga, ilielezwa kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa.