Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi Misahafu, mmoja kati ya Mahujaj 150, wakati
alipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana Oktoba 14,
2012 kwa ajili ya kuwaaga Mahujaj hao walioondoka kuelekea Saud Arabia
mji Mkuu wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija inayofanyika
kila mwaka. |