Thursday, October 18, 2012

ASKARI POLISI AUAWA KIKATILI ZANZIBAR

Kufuatia kutoweka kwa Sheikh Farid na wafuasi wake kuvamia na kuharibu Ofisi za CCM jana huko Zanzibar, usiku wa jana, wafuasi wa uamsho wamemuua kikatili Polisi ambaye amefahamika kwa jina moja la  Said alipokuwa akitoka kazini.

Tukio hilo limesababishwa na Kikundi cha Uamsho huko Zanzibar linalomtafuta Kionozi wao aliyepotea jana na hajulikani halipo.

Taarifa nilizopata na ambazo sio Rasmi zinasema kuwa  katika vurugu za jana askari polisi  amechinjwa jana na waandamanaji wa uamsho.

Habari hii ni kwa hisani ya Mtandao