Friday, September 21, 2012

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA SCHOOL OF LOW JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Katiba na Sheria  Mh, Mathias Chikawe (kulia) pamoja na Naibu waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki  wakiwa katika Ziara ya Kutembelea Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo( LAW SCHOOL OF TANZANIA) ambapo  aliridhika na maendeleo ya  Mradi huo na kutaka uongozi wa Mradi huo kutunza  mazingira.

Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria  kwa vitendo Judge   Jerad Ndika akiongea na waandishi wa habari waliohudhuria katika Ziara hiyo ambapo alisema changamoto kubwa wanayokumbana nayo ni  ukosefu wa Barabara ambapo amesema kuwa wanampango wa kuwasiliana na mashirika mbalimbali  ili wawasaidie kupata Barabara.