Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika Mkutano wa
wadau na wananchi wa jiji la Dar es Salaam wa
kukusanya maoni kuhusu udhibiti wa Huduma za maji zitolewazo na Magari
yanayosambaza maji na visima Binafsi ,
ambapo amewatahadharisha wadau wanaofanya
bihashara ya maji kutouza maji
yasiyoyasalama na kwa bei isiyo elekezi ya Ewura. Amesema kuwa Ndoo inatakiwa
kuuzwa kwa Sh, 20 kwa ndoo ya lita 20.
Kadhalika mkuu wa mkoa amesema kuwa EWURA inapaswa kuwa na
makini kusimamia usambazaji wa huduma ya maji kwa ni bihashara Haramu sit u
kuuza madawa ya kulevya bali pia kuuza kwa bei ambayo mwananchi wa kawaida
hawezi kumudu.
Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa Landmark jijini
Dar es Salaam
|