Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza
na Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Mama Laura Bush wakati wa kikao cha
'The Rand African First Ladies Initiative' kilichofanyika New York
nchini Marekani tarehe 26.9.2012. The Rand African First Ladies
Initiative ni washirika wa maendeleo wa wake wa marais na wakuu wa nchi
za Afrika wanaoshughulikia kuleta mabadiliko ya afya na elimu kwa
mamilioni ya wanawake na watoto barani humo. PICHA NA JOHN LUKUWI |