Tuesday, September 25, 2012

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA SEMINA YA APRM LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje  Bw, John  Haule akifungua warsha ya siku mbili ya APRM inayoaza leo jijini Dar es Salaam ambapo amesema Lengo la Warsha hiyo  ni kuona jinsi ambavyo mpango wa Utekelezaji wa Tathmini  ilivyofanyika chini ya APRM.Amesema kuwa Mpango huo uimegusa maeneo mbalimbali serikalini na inalengo la kuwapa Elimu wawakilishi mbalimbali wa Serikali.Aidha Bw, Haule amesema kuwa,utawala bora nchini Tanzania upo katika nafasi nzuri kwani viongozi wa serikali wanaongoza kwa kufwata maadili ya kazi yao.

Katibu mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani  akiwa kwenye picha ya pamoja  na wadau wa APRM. Warsha hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Mikutano DICC