Diamond hapo akielezea sababu na dhumuni
zilizomfanya mpaka afanye hivyo huyu hapa anafunguka kama dzain hii
"kusema kweli nimeona umuhimu kwasababu unakuta pale msanii anapoamua
labda kufanya video mpaka aanze kutafuta watu lakini mimi nikaona
kwanini ni si ajili watu wa kunifanyia video zangu kama models na ndiyo
maana leo hii ni siku maalum ya kumtafuta yule ambaye ataweza kufanya
video mpya ya kwangu na pia kumuajili katika kazi zangu za muziki kwa
hiyo pale ninapoamua kufanya video ninakuwa ninajua kabisa nina watu
kadhaa wa kufanya nao video".Hayo ndiyo maneno ya Diamond wa wasafi
akielezea sababu na dhumuni la kufanya Music Video Audition leo maeneo
ya Nyumbani lounge jijini Dar es Salaam. |