Tuesday, August 14, 2012

TAIFA STARS YAONDOKA LEO KWENDA GABORONE

Mrisho Ngassa (kulia) akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kabla ya kuondoka nchini leo, Timu ya Taifa, Taifa, Stars imeondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano nchini humo.

Kaseja mbele na mwenzake wakiwa tayari kwa safari