Ndoto hii imetimia leo Katika ukumbi wa mlimani City Jijini
Dar es Salaam baada ya kufunguliwa Duka kubwa la vifaa vya watoto maarufu kama
Babyshop.Meneja mkuu wa mauzo Bw, Malcon Schulz amesema kuwa Duka hilo ambalo
ni la kimataifa lilianzishwa Mwaka 1973
na maduka hayo uyalikuwa katika nchi 14 na sasa limekuja Rasmi nchini Tanzania.
“Tunayofuraha
kufungua Duka letu ambalo litakuwa na mahitaji yote ya Watoto”amesema
Schulz.
Hapa anaonyesha nguo za watoto zitakazokuwemo dukani hapo |
Bidhaa zilizomo katika duka hilo ni pamoja na Nguo za
kimataifa,Bidhaa za watoto, Matoi, Fanicha Bidhaa za usalama wa Nyumbani na
vingine vingi.