Tuesday, August 28, 2012

PICHA ZA KIKWETE AKIHESABIWA NYUMBANI KWAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Familia yake wakiandikishwa katika zoezi la Sensa lililoanza agosti 26 mwaka huu.