Wednesday, November 26, 2014

SLAA ANASEMA HIVI KUHUSIANA NA SAKATA LA ESCROW

Screen Shot 2014-11-25 at 9.07.27 PM-‘…Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi….”
-“… Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa…’.
-‘…Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi…’.
— Dr Wilbrod Slaa (@wilbrodslaa)
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati

No comments:

Post a Comment