
Huenda
wewe ni mmoja kati ya walaji wa mbogamboga za majani lakini hujui mboga
hizi zinalimwa katika mazingira gani… sasa baraza la mazingira Tanzania
NEMC limebaini kuwa wakulima wa mboga za majani Dar wamekuwa wakitumia
majitaka kumwagilia hizi mboga.
Afisa wa NEMC amezungumza na
ITV na kusema; “
…
Kama Serikali hatuwezi kuruhusu kitu kama hicho.. hatutaruhusu tena
kumwagilia kinyesi kwenye mchicha, haturuhusu hicho kitu, hakuna
serikali hiyo ambayo itaruhusu vitu hivi…”
No comments:
Post a Comment