Sunday, July 6, 2014

PICHA ZA WEMA NA AUNT EZEKIEL ZILIZOZUA GUMZO MTANDAONI, NI BAADA YA KUONEKANA CHUMBANI NA KANGA MOJA PAMOJA MARTIN KADINDAWema Sepetu ”In my shoes” Episode 20 Fashionista shopping + Bunyero nite. Aunt Ezekiel na meneja wa Wema, Martin Kadinda ndani ya episode.

Dakika 14 za mwanzo ni mambo ya shopping na kwa kiasi fulani inachosha. Baada ya hapo, Martin Kadinga anawashukia Wena na Aunt kuhusu mpango wa kuhudhuria Bunyero (Kibao Kata) na hapo ndio burudaniinapoanza

No comments:

Post a Comment