Saturday, July 19, 2014

BAADHI YA PICHA WAKATI WA HARUSI YA KAKAYAO KINA P SQUIRE

1Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake Ifeoma Umeokeke.
Jude Okoye ameshiriki kwenye kazi nyingi za P Square hasa kwenye ku-direct video zao za mwanzao kabisa. Hivi sasa amemuoa Ifeoma ambaye alikuwa Miss Tourism 2012.
2
3
4
5
6
7
8
9

No comments:

Post a Comment