Monday, June 2, 2014

Diamond face to face na President Jakaya Kikwete ndani ya New York city.

qqqqqqqqqqqqqqMheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo kwenye safari zake za kikazi na Diamond yupo kwenye safari za show zake huko Marekani. Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York alikuta na Rais Kikwete.

Kama kawa picha mbili tatu zilihusika na  Diamond ali-post  picha kwenye insta na kuandika,”The President of United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete and I…just few minutes ago in Manhattan, New York.
d6Cheki picha nyingine walivyokuta hapo.d4
d5

 

No comments:

Post a Comment