Sunday, May 4, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA JINSI DIAMOND ALIVYOPOKEA TUZO SABA

 

 Mda mwingine nakosa maneno ya kuzungumza 
kuonyesha shukrani zangu kwa nyie mashabiki wangu
 mlioniwezesha ushindi wa hizi tuzo zote,ila neno moja
 tu napenda niseme,AHSANTENI,NAAHID KURUDISHA
 FADHIRA KWA KUWAFANYIA MAMBO MAKUBWA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment