Thursday, April 3, 2014

UNAAMBIWA MR NICE AMSHUKURU MUNGU KWA KIPIGO HICHI,ILIKUWA AKALIWE KIBOGA NA KUPIGWA PICHA ILI ZISAMBAZWE KWENYE MITANDAO:
Na Sakina Shabani
Ni ukweli kwamba Mungu alisaidia tu kitendo cha Mr Nice kupigwa na imekuwa nafuu kwake kuliko tukio ambalo huenda lingekuwa baya sana kwenye maisha yake la kuliwa kiboga kwa vijana waliokuwa wamepanga kumdhalilisha mwanamuziki huyo mwenye heshima kubwa Afrika Mashariki na kati.

Baada ya gazeti moja jana Jumatatu kutoa taarifa za kupigwa kwa Mr Nice kisa kikiwa mke wa mtu Xdeejayz imezama ndani kufatia ishu hiyo na kupata mkanda mzima toka kwa watu walioshuhudia tukio hilo waliiambia Xdeejayz kuwa ' Jamani huyu kijana anapaswa kumshukuru Mungu kwa adhabu hii ya kupigwa kuliko nia waliyokuwa wamepanga kumfanyia ya kwenda kumla uloda kisha kumpiga picha hizo za aibu" Alisema mama huyo ambae alimuonea huruma sana mwanamuziki huyo wakati akipewa kipigo

CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

No comments:

Post a Comment