Hizi ndizo picha za Jeshi la Wananchi Tanzania zilizoleta stori mtaani.
Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya
jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo
hasa inapotakiwa kuvitumia,April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50
ya Muungano wetu kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa kwa Tanzania. Miongoni mwa vitu ambavyo vilivyovuta hisia za wengi ni namna vifaa
vya Jeshi la Wananchi vilivyokuwa vikipita huku MC akitoa maelezo ya
kila kimoja,hizi ni baadhi ya picha za vifaa hivyo vya JWTZ.
No comments:
Post a Comment