Tuesday, April 15, 2014

BENKI YA BARCLAYS DAR YAVAMIWA NA MAJAMBAZI

     

Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa nne asubuhi, katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

No comments:

Post a Comment