Wednesday, February 12, 2014

Picha, Mama Yake Rambo Mwenye Miaka 92 Baada Ya Upasuaji Wa Kubadili Sura

 

Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji  Sylvester Stallone aka Rambo ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.
Mama huyu mwenye miaka 92 amefanyiwa Upasuaji Wa Kubadili Sura sura na kuwa na muonekano wenye mvuto zaidi.
rambo 2 rambo 3 rambo 4 rambo

No comments:

Post a Comment