Tuesday, January 21, 2014

SIRI IMEFICHUKA...AFA AJALINI AKIWA NA KIMADA, MKEWE ALIMUAGA AENDA SALIMIA NDUGU, KIMADA ADATA ISHU KUVUJA....!

Habari toka Mkoani  Singida zinasema watu 13 waliofariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani humo kumbe mmoja wa watu waliofariki alikuwa ni mume wa mtu ambae alikuwa anakwenda kula bata na nyumba ndogo.
Habari zinasema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori watu hao wakiwemo na kwa mujibu wa shuhuda wetu ambae alipiga simu kwenye ofisini na kueleza wawili hao walikuwa wanasaliti ndoa zao. "

No comments:

Post a Comment