Wednesday, November 20, 2013

HUYU NDIYE KAMANDA WA CHADEMA MKOA WA DODOMA ALIYEFANYIWA VURUGU NA WATOTO WA USWAHILINI NYUMBANI KWAKE:


 
Dennis Daniel Nachipyangu  ambaye ni kamanda wa Chadema mkoa wa Dodoma ambaye pia ni mkurugenzi wa JITAHADA INC jana usiku alijikuta katika wakati mgumu sana
 baada ya watoto wa Uswahilini kumfanyia fujo nyumbani kwake maeneo ya Area D na kusababisha
hasara kubwa sana amabayo mpaka sasa hatujajua uharibifu huo unafikia kiasa gani cha fedha, akiongea kwa njia ya simu na paparazi wa matandao huu www.bossngasa.com Mr Dennis alisema kwa sasa hawezi kuzungumza chochote kuhusiana na tukio hilo bali sheria itafata mkondo wake:
 
Bad Wednesday usilete ugomvi na watoto wa uswahili,pasua my aluminum window

No comments:

Post a Comment