Saturday, November 2, 2013

HAYA SASA MNASEMA WAMASAI WANATEMBEA UCHI!! EMBU MUANGALIE HUYU JAMAA WA KABILA FULANI HALAFU UMLINGANISHE NA MMASAI

Hizi ni Picha za Mwanaume wa kabila Moja huko Ethiopia anayetembea Uchi kuonyesha jinsi alivyonona kutokana na Kunywa Damu na Maziwa ya N'gombe,  Kwa mujibu wa Dialy Mail  katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume  huyo  anafahamika kwa jina la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume mnene!
Miezi sita baada ya kuanza zoezi la kunywa damu
ya ng'ombe na maziwa,mwanaume huyo ameonyesha muonekano wake.
No comments:

Post a Comment