Monday, November 18, 2013

AMA KWELI NYUMBANI NI NYUMBANI, MSANII WA KIZAZI KIPYA BEN POUL AFANYA MAMBO MAKUBWA DODOMA



Nyumbani ni nyumbani hatima msanii wa Msanii wa kizazi kipya bernard paul ambaye maskani yake ni Dodoma siku ya jana tar 16.11.2013 ametembelea vituo vya watoto yatima mkoani Dodoma na kutoa msaada wenye samani ya zaidi ya 1,000,000.
Akifanya zoezi ilo akiwa sambamba na marafki zake wa karibu wa Dodoma MSOUTH KATO na Edga Islael pamoja na wengine kibao.



Ben Poul aliamua kugawana kipato chake na watoto waishio kwenye mazingira maguma Dodoma kama ishara ya kuwadhamini na kuwajali watoto. ben poul alitemberea vituo vya shukrani na miyuji vituo ivyo vya watoto shukrani kipo changombe Dodoma kituo kicho cha kuwalea watoto waliotoka kwenye mazingira magumu pamoja na kituo cha miyuji kinacholea watoto wenye mtindio wa ubongo










www.bossngasa.com inampongeza ben poul kwa roho ya upenda aliyokuwa nayo kwa kufanya mambo mazuri ya kumpendeza mwenyezi mungu, big up sana ben, mungu atazidi kukubariki kwa kila jambo:

No comments:

Post a Comment