Saturday, October 12, 2013

SHEHENA YA AJABU YAKAMATWA KWENYE BANDARI YA MOMBASA YAKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU IKISEMEKANA VINATUMIKA KWENYE DINI YA KISHETANI...


8

9


10


Kontena ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya na hii hapa audio ya ripoti nzima pamoja na video ya mzigo wenyewe kama ilivyoripotiwa na Citizen TV


Tazama video hapo chini..

No comments:

Post a Comment