Monday, October 28, 2013

MWIZI WA KUKU AKAMATWA NA KUCHUNWA NA MAJI YA MOTO MITHILI YA KUKU ANAYECHINJWA

mwizi wa kuku
Huyu  ni  mkenya   aliyekuwa  ameiba  kuku.Wananchi  walipomnasa walimpa  kichapo  kikali  na  kisha  kumfungia  ndani  ya  tenga  la  kuku  kwa  ajili  ya  kumchoma  moto….

Wangali  katika  maandalizi  ya  kutafuta  petrol, polisi  waliwasili  eneo  la  tukio  na  kumuokoa  kwa  kumpeleka  kituoni

No comments:

Post a Comment