PADRE ANCELMO MWANG'AMBA baada ya kumwagiwa tindikali leo na watu wasiojulikana anaonekana akiwa na maumivu makali huku suruali yake ikiwa imeathiriwa na Tindikali hiyo.
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar. Habari zaidi zitawajia baada ya muda kidogo
No comments:
Post a Comment