Tuesday, September 10, 2013

KESI YA KANIKI NA MATUMLA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA IPO HIVI!!


 Uwezekano wa kesi ya Kaniki na Matumla,waliokamatwa na madawa ya kulevya Nchini Ethiopia kurudishwa Tanzania haupo kwa kuwa nchi hizi mbili hazina utaratibu wa kubadilishana wafungwa.

Watuhumiwa hao Wameshikiliwa Nchini Ethiopia kwa zaidi ya siku 10 sasa,kutokana na Matumla anadaiwa kubeba kilo nne wakati Kaniki akidaiwa kubeba kilo tatu za Madawa ya kulevya.

Kama watapatikana na hatia, wanaweza kufungwa kifungo cha miaka tisa hadi 15.


You might also like:
 

No comments:

Post a Comment