Nasibu
Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya vitu vyake stejini wakati wa shoo ya
Kili Music Tour 2013 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar.
Nasibu
Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya vitu vyake stejini wakati wa shoo ya
Kili Music Tour 2013 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar.
Kalla Jeremiah akizikonga nyonyo za mashabiki ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Mzee Yusuf akiwapa raha mashabiki.
...Linex stejini.
Roma Mkatoliki akimiliki steji.
Joh Makini akisema na mashabiki.
...Lady Jaydee akiwapa raha mashabiki na 'Yahaya'.
...Mr Blue kazini.
Profesa Jay akiimba na mashabiki.
..Nay na Diamond wakiimba Muziki Gani.
...Nataka kulewa zikinipanda nimwage radhi.
.Burudani zikiendelea.
Prof Jay na Lady Jaydee wakipozi Ki-Anaconda.
(PICHA ZOTE NA GPL)

No comments:
Post a Comment