"Erick Shigongo ameamua kunichafua magazetini kwa kuwa nina kesi nae mahakamani"...Irene Uwoya.
Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya iphone
5 toleo jipya la mwaka huu ambapo habari hiyo iliripotiwa jana katika gazeti la
Risasi na kutawala mitandao mingi ya kijamii.
Katika utetezi wake alioutoa kupitia ukurasa wake instagram, Irene Uwoya amesema kuwa chanzo cha
kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake za kesi
aliyomfungulia Shigongo
HII NDO KAULI YAKE :
"Mi ni mti wenye matunda
milele siogopi kupigwa mawe…
"Shigongo kaamua kunichafua coz nina kesi nae
mahakamani…anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho
wa siku sheria itafuata mkondo wake….
"Mi na yake mengi nayajua ila ngoja
ninyamaze nisimwagiwe tindikali"
No comments:
Post a Comment