MR BLUE
msanii pekee wa hiphop anaekubalika sana na wasichana kupita wote.
Hawa ndio wasanii wanaokubalika sana na watoto wa kike
wanapoimba jukwaaani kelele nyingi sana upigwa na wasichana pindi
waingiapo kwenye stage kwa nyimbo zao,mbwembwe zao na hata mapozi
yao.ninao baaath hapa ambao ni vipenzi vya mabinti katika sehemu
mbalimbali wanazopiga kazi hasa hsa pale NEW MAISHA CLUB kwa mujibu wa
Hyper man hk ambae kwa kiasi kikubwa yeye ndio
uendesha show izo alisema pindi atangazapo majina ya jamaa hao kuwahita
kwenye stage upewa shangwe nyingi sana jukwaa,hawa wasanii upendwa sana
na mademu asikwambie mtu alimaliza kwa kusema hivyo.
DULLY SYKES
Hakuna msanii mwenye pozi na hasie na papara jukwaani kama DULLY
SYKES ANAIMBA KWA MAPOZI NA KILA NGOMA YAKE NI HIT SONG kwahiyo upata
shangwe nyingi sana jukwaani
ALI KiBA
Uwezo wake wakuchezea sauti wakati anaimba uvutia mademu sana na kujikuta wakipiga kelele nyingi kupita maelezo.
DIAMOND PLATNUMZ
Guys sina mengi yakuzungumza kwenye hili ila huyu ndio kiboko yao moja kati ya wasanii wanaopendwa na wasichana huyu ndio namba
moja kwa tanzania kwa mujibu wa
hyperman hk amesema hawapojukwaaani pale new maisha club akitangaza
msanii anaekuja ni diamond platnum izo kelele zake hata mziki hausikiki
na mabinti ujikuta wakichanganyikiwa kabisa na wengine kukimbia mpaka
mabwana zao na kwenda kutunza wakishuka jukwaani kipondooo.
DIMPOZI KWA POZI
Ngoma zake zenye maudhui ya MAPENZI zinawafanya wakidada kuzipenda sana na akiwapo jukwaaani upigiwa sana shangwee.
hUYU HAPA HYPERMAN HK
mc anaendesha show mbalimbali za wasanii hapa nchini.
T.I.D MNYAMA
Huyu hapa sasa miuno yake na
uchale anaouleta jukwaani ndio unaofanya watu wampigie sana shwangwe
kwamfano kuna siku maisha club aliiimba na kucheza akapanda juu ya dj
cabin na akaanza kukatika miuno zilisisikika sauti za kike tu du mnyama
noumerrr.
Uzuri wa sauti yake na uwezo
wake wakuimba jukwaaani ndio mana hata mwenyewe ujiita kipenzi cha
mabinti huyu jamaa WASICHANA wengi uimbanae kwenye stage kwamana ya
kuzikariri sana nyimbo zake na kumpigia shangwe nyingi sana na kutunzwa
majihelayakutosha tu.
BOB JUNIOR
DAAAAH Sijui nikwambiaje huyu jamaaa hatari sana yaaani
mabinti wakisikia bob junior yupo jukwaani wanajazana sana
hatariiiiiiiiiiiiii na shangwe zakutosha.
JUX
Huyu hapa mkali mwengine anaetamba na ngoma ya uzuri wako,hivi karibuni atazindua video yake ya UZURI WAKO pale New maisha club dar siku ya TAR 31.Siku hiyo najua totoz zinakuwa zakumwaga kwasababu huyu ni moja kati ya wasanii wasafi na wanatupia sana pamba na ni kivutio kikubwa sana cha mademu akiwa jukwanani.
Huyu hapa mkali mwengine anaetamba na ngoma ya uzuri wako,hivi karibuni atazindua video yake ya UZURI WAKO pale New maisha club dar siku ya TAR 31.Siku hiyo najua totoz zinakuwa zakumwaga kwasababu huyu ni moja kati ya wasanii wasafi na wanatupia sana pamba na ni kivutio kikubwa sana cha mademu akiwa jukwanani.
source-hyperhk.blogspot.com
No comments:
Post a Comment