Saturday, August 17, 2013

JAMAA AJITUNDIKA KISA UGUMU WA MAISHA

  mwili wa marehemu ukiwa unaning'inia baada kujinyonga

                                           Mke wa marehemu
Mwanaume mmoja ambaye
 jina lake, halikuweza kutambulika
 mara moja, mkazi wa
 Kigogo-Mbuyuni jijini Dar-es-Salaam 
asubuhi ya kuamkia mei 29 
 alijinyonga kwa madai ya
 ugumu wa maisha
 uliosababishwa na kukosa ajira.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment