Sunday, July 21, 2013

JANUARY AMVAA MNYIKA KISA NI NAMBA YA SIMU

JANUARY MAKAMBA AMVAA MNYIKA BAADA YA KUANIKA NAMBA YAKE YA SIMU HADHARANI...!!

Sunday, July 21, 2013 | 10:09 PM

Sakata la kodi ya umiliki wa kadi za simu (simcard tax) sasa limekuwa personal kati ya waheshimiwa. Mbunge wa Ubungo, Mh. John Mnyika ametoa kauli ndefu kuhusu sakata hilo, na kutoa namba za simu za mikononi za baadhi ya waheshimiwa, akiwemo Mh. January Makamba, hadharani ili
wananchi wanaotaka kutoa dukuduku lao, wawasiliane nao. Inaonekana makubwa yamemkuta mh. Makamba kufuatia tendo hilo. Angalia alichopost Mh. January Makamba katika mitandao ya Twitter na Facebook hapa chini kuona yaliyomsibu baada ya wananchi walionuna kuhusu simcard tax kupata namba yake ya simu: Facebook:

No comments:

Post a Comment