![]() |
| Rais Kikwete akisalimiana na Vikundi Maalumu vya upokeaji wa ujio huo wa Rais Obama nchini Tanzania...!! |
![]() |
| Rais kikwete akiwa Nje ya Ikulu ya Tanzania akiangalia Mandhari sambamba na Ulinzi Mkali....!! |
![]() |
| Rais Kikwete akiangalia Kibao kinachotoa Maelekezo ya Njia hiyo Mpya ya Barack Obama Drive... |
![]() |
| Jengo la Ikulu ya Tanzania likiwa limenawili na Bendera za Taifa la Tanzania na Marekani... |
![]() |
| Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Ndugu Bernad Membe akisoma Ratiba ndani ya Ikulu ya Tanzania...! |
![]() |
| Vikundi vilivyo Nje ya Ikulu ya Tanzania wakishangilia baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasalimu akielekea Airport kumpokea Mgeni wake anaewasili alasiri ya leo...! |







No comments:
Post a Comment