Wednesday, June 19, 2013

WAPIGA KURA WA NASSARI WALIPOAMUA KUMFUATA MBUNGE WAO ARUSHA

  • WAZUNGUKA NA MAJANI MJI MZIMA NA KUZINGIRA HOSPITALI YA SELIAN.

  • WASHANGA KWANINI WALIO HUSIKA HAWAJA KAMATAWA?

  • WAIZINGIRA HOSPITALI NA KUONYA KITAKACHO MPATA MBUNGE WAO WENYEWE WATAJIBU.

  • HOFU YATANDA WANAUSALAMA WASHAURI NASSARI AHAMISHIWE.

  • KUNAUVUMI KUWA MABOMBA YA KUPELEKA MAJI MONDOLI YAMEKATWA.

??????????????????????
Hawa ni baadhi ya wameru walio andamana kutoka Meru wakielekea Hospitali yaSeliani Jana
??????????????????????
Joshua Nassari akiongea na waziri mkuu alipokwenda kumtembelea Hospitalini jana.
??????????????????????
wananchi wakiwa kwenye uzio wa hospitali ya Seliani wakiimba na kumdai mbunge wao ili waondoke nae.
??????????????????????
??????????????????????

No comments:

Post a Comment