ASEMA CHADEMA WANAVIPAJI VYA KUSEMA UWONGO
ABAINISHA KUWA YEYE NDIYO ALIYETOA VITENDEA KAZI KWENYE VIDEO INAYODAIWA YA UGAIDI YA LWAKATARE
ANUKULIWA “CHADEMA NI CHAMA CHA WAUAJI MPAKA SASA WAMEUWA WATU ZAIDI YA WANANE”
MUSA, MHANGA WA TUKIO LA KUMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AMUUNGA MKONO.
Angalia video ambayo inamuonyesha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba akinadi chama chake kwenye kampeni za udiwani Arusha zikiwa zimebaki siku 6 tu kabla ya uchaguzi.
SOURCE: MEDIA 2 SOLUTION
No comments:
Post a Comment