Hivi kumbe uchawi upo kila nchi?....
Katika hali isiyo ya kawaida, maiti moja nchini Kenya imezua kituko cha aina yake baada ya kugoma kupelekwa makaburini.....
Gari lililokuwa limeibeba maiti hiyo lilizima ghafla na kugoma kusonga mbele...... Likirudishwa kwa nyuma, linarudi....mbele, hapana!!!
VIDE O YA TUKIO HILO
No comments:
Post a Comment