Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki
wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi
ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.
Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7
mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini
saa 9 alasiri.
SOURCE: GPL
No comments:
Post a Comment