Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya,Linex akiwasalimia mashabiki na wapenzi wa
Muziki waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma
leo,ambapo usiku wa jana kulikuwa na bonge moja la Show ya Kilimanjaro
Tanzania Music Tour 2013.
Msanii Ben Pol akighani moja ya nyimbo zake.
Msanii wa Hip hop Mwenye tuzo nne za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Kala Jeremier akifanya vitu vyake usiku wa jana ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Mashabiki hawakutaka kabisa kupitwa na taswira za show.
Ni shangwe kwa kwenda mbele ndani ya Uwanja wa Jamuhuri mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment