Monday, June 10, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA HUYU MTOTO WA KITANZANIA MWENYE KUFANYA MAAJABU DUNIA HII


Mtoto Alvin akisalimiana na Rais wa
Tanzania Mh.Jakaya Kikwete
Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania
 anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. 
Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa
 kidato cha pili huko Singapore, tayari
 ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya
 wataalamu wa application katika moja ya makampuni
 makubwa duniani ya kutengeneza simu za mkononi ya
 NOKIA, ambapo anatengeneza
 applications ambazo anazituma katika
 kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia.
Hongera kwa Alvin na wazazi wake pia..

No comments:

Post a Comment