Wednesday, June 5, 2013

PICHA ZA KAMATI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEA NA WANANCHI WAKIUAGA MWILI


Hii ni kamati ya msiba wa marehemu Albert Mangweha ikiongozwa na mwenyekiti wake Adam Juma akitoa maneno ya shukrani kwa watu wote waliojitokeza katika viwanja vya Leaders Leo Jumatano kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha. Na Baada ya kutoa heshima ya mwisho mwili wa marehemu Albert Mangweha umesafrishwa kupelekwa Morogoro kwa ajili ya maziko ambayo yatafanyika kesho Alhamisi 6/6/2013 huko Kionda Morogoro ambako ndio kwao aliko mama yake mzazi..R.I.P Ngwair.


No comments:

Post a Comment