Thursday, June 6, 2013

PICHA 1O ZA MATUKIO MUHIMU TOKA MOROGORO NAMNA MANGWEA ALIVYOZIKWA


 
Hii ndio nyumba ya Milele ya kipenzi chetu Albert Mangwea, Mungu amsamehe makosa yake na  aiweke roho yake mahali pema Peponi Ameen
Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea....!!
Rafiki wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P' akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.



PICHA KWA HISANI YA MITANDAO MBALIMBAL

No comments:

Post a Comment