Wednesday, June 12, 2013

MWANA FA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA LADY JAYDEE MSIKILIZE HAPA CHINI



Baada  ya  kutibuana  na  Lady  Jaydee, Mwana  FA  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kuwataka  mashabiki  wachukulie  poa  maana  ni hali  ya  kawaida  tu  katika  maisha  ya  kibinadamu.....

Ugomvi  wa  wasanii  hawa  ulianza  baada  ya  Mwana  FA  ku re -tweet  post  moja  ya shabiki  wake  ambayo  ilikuwa  ikiiponda  show  ya  Lady  Jaydee...

Lady  jaydee  alijaribu  kumuonya  mara  kadhaa  lakini  FA  hakusikia  na  badala  yake  aliretweet  post  ya  shabiki  mwingine  ikimponda  Lady  Jaydee....

Uvumilivu  ulimshinda  Lady Jaydee  na  kuamua  kujibu  mashambulizi  kwa  kumuita  Mwana Fatuma  na   na  mengine  mengi.....

Wasikilize  hapo  chini wakifunguka

No comments:

Post a Comment