Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Saidi Mwema akimvisha cheo kipya cha
Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polis,
Thobias Andengenye ambaye hapo awali alikua Kamisha Msaidizi Mwandamizi
wa Polisi (SACP). Hafla hiyo fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk, Jakaya Mrisho Kikwete amewapandisha vyeo
maofisa wawili kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi
na maofisa kumi na tisa kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
kuwa Naibu Kamishna wa Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi al Polisi
No comments:
Post a Comment