Thursday, June 6, 2013

KADA WA CHADEMA ACHARANGWA KWA SHOKA NA WATU WASIOJULIKANA ANGALIA PICHA


 Ndg: Amos, kada wa chama cha Chadema akiwa hospitali ya Mount Meru

Ni siasa chafu na zisizovumilika, na ni dalili za CCM kushindwa kufanya kampeni majukwaani kwa sera sasa wanawashambulia wafuasi wa CHADEMA na kuwajeruhi kwa lengo la kuwapotezea uhai wao. Tumetoka hositali ya Mount Meru kumuona tukiwa na Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema.


No comments:

Post a Comment