Waziri wa Mambo ya Nje Mhe, Benard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee ambapo kulikuwa na Maadhimisho ya Miaka hamsini ya OAU. katika Maadimisho hayo viongozi kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Mabalozi walihudhuria kwenye Sherehe hizo. |
|
No comments:
Post a Comment