MAASINDA

CALL:+255653585439,+255765867250 Email:kivuyoe@gmail.com

  • Home
  • Bihashara
  • Jamii
  • Burudani
  • Michezo

Thursday, May 2, 2013

MTUHUMIWA ANAYEWALEWESHA WANAWAKE NA KUWAIBIA ANASWA



 



Na Issa Mnally


JESHI la Polisi Kituo cha Pangani, Ilala Dar es Salaam limemnasa kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Abdallah kwa tuhuma za kuwawekea wanawake madawa ya kulevya katika vinywaji kisha kuwaibia, Amani linakujuza.


Ishu hiyo ilijiri Jumatatu iliyopita katika baa moja iliyopo Amana, Ilala jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kunaswa, mlalamikiwa huyo alipelekwa katika kituo hicho cha polisi kwa hatua zaidi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa alitiwa mbaroni baada ya kuwekewa mtego uliomnasa.

“Polisi walikuwa wakimsaka kwa muda mrefu kutokana na madai ya kuwatilia ‘unga’ watu, hasa wanawake kwenye vinywaji kisha kuwaibia.




“Nasikia ameshawaliza wanawake wengi wakiwemo vigogo,” kilisema chanzo hicho.

Siku ya tukio, Abdallah alikuwa kwenye baa hiyo bila kujua kuwa polisi walikuwa wakimuwinda, ndipo walimpomzingira na kumnasa. 

Inaelezwa kuwa baada ya habari hii kutoka, wanawake wengi watamiminika kituoni hapo kutoa malalamiko yao juu yake.

Mwandishi wa Amani aliingia Kituo cha Polisi Pangani na kumuuliza afande mmoja kuhusu sakata la kijana huyo, alikiri lakini akasema yeye si msemaji wa polisi.



Imechapishwa na Unknown kwa 12:44 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Zilizosomwa(popular post)

  • PICHA 40 ZA UCHAFU WA MSANII HUYU WA BONGO NA MADEMU 20 TOFAUTI,PICHA 4 AKIVALISHWA PINGU KWENDA LUPANGO USIKU HUU,
  • MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA KWA NAMBA ZA SHULE NA WANAFUNZI
  • MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
  • MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
  • MATOKEO MAPYA YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE/FORM FOUR RESULT 2013 HAYA HAPA
  • USHAIDI WA PICHA MAAJABU YA DUNIA HII!! MTOTO AZALIWA NA CHURA HUKO MBEYA
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014 HAYA HAPA

Blog Archive

OTHER BLOGS

  • AFRICA YETU BLOG
    "SUGU AMESAFISHWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU. FIKIRIA TUSI HILO LINGETOKA KWA MLALA HOI "...MBWANA
    12 years ago
  • NEWS.COM
    HUYU HAPA MWANAFUNZI WA KIKE MJINGA KULIKO WOTE HUJAPATA KUONA
    12 years ago

Search here

MAASINDA. Simple theme. Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.