Matokeo
ya kidato cha Sita na yale ya kidato cha nne yaliyopangwa upya yatatoka
wiki ijayo kama mambo yakienda sawa. Baada ya kupangwa upya, ufaulu
umeongezeka.
Kwa kutumia viwango vya zamani, matokeo mapya yamewezesha kiwango cha ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57.
Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana
imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la
Taifa (Necta) kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu.
Endelea Kufwatilia hapa MAASINDA ili matokeo yanapotoka tu uweze kuyafaidi.
No comments:
Post a Comment